mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
ilifanya nn hii tv?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwenyewe nilitaka kufahamu hii kitu aisee...imetokea yenyewe au kaibondaBosi ni external physical damage au imezingua yenyewe tuu?
Janga la Screen kwenye Tvs linazidi kua kubwa.
Tatizo la kioo ndo tatizo kubwa zaidi kwenye TV , yaa TV ni kioo Mzee , ukiharbu kioo unaweza uza hata Kwa 50000 usipate mtejamwenyewe nilitaka kufahamu hii kitu aisee...imetokea yenyewe au kaibonda
Na mbaya zaidi ndio hutokea kwa wingi.Tatizo la kioo ndo tatizo kubwa zaidi kwenye TV , yaa TV ni kioo Mzee , ukiharbu kioo unaweza uza hata Kwa 50000 usipate mteja
Sio tv TU,Hata smart foniTatizo la kioo ndo tatizo kubwa zaidi kwenye TV , yaa TV ni kioo Mzee , ukiharbu kioo unaweza uza hata Kwa 50000 usipate mteja
Ni kweli kabisa. Mimi hapa nina Lg Nch 49 imepasuka kioo. Nimetafta mtu anipe hata laki mbili nimemkosa mpaka leoKwa tv yenye mstari hiyo Bei ni kubwa mno
Ukiongeza laki unapewa mpya kabisa ktk box lake.Kwani mpya Epson ni shilling ngapi?
PC 300k duhKaribuni
1. Laptop Lenovo = 300,000/=
Desktop name: desktop aquges 1
Processor: Intel [R] Celeron [R] N4020
CPU: @1.10GHz
RAM: 4.00GB
Device ID: 26E6E507-6F4F-47C8-B9B0-A06EDEBAF9B4
Product ID: 00331-10000-00001-AA669
System type: 64bit operating system, x64 based processor
2. LG home theater - 1000W RMS
Bei - 350,000/=
LHD627 [LHD627, S67S2-S, S67T2-CW)
It plays USB movie playback, DVD, USB direct recording, Dolby digital, potable in, Bluetooth, hdmi, full HD, x-vid home, base blast
3. TV showcase = 70,000/=
Vyote vipo dar es Salaam.
Kwa anayehitaji tafadhali apige simu namba 0693733218, karibuni sanaView attachment 2929442View attachment 2929443View attachment 2929446
Mmmh1.10GHz