INAUZWA Nauza bidhaa za aina mbalimbali

Tatizo la kioo ndo tatizo kubwa zaidi kwenye TV , yaa TV ni kioo Mzee , ukiharbu kioo unaweza uza hata Kwa 50000 usipate mteja
Na mbaya zaidi ndio hutokea kwa wingi.
 
Tatizo la kioo ndo tatizo kubwa zaidi kwenye TV , yaa TV ni kioo Mzee , ukiharbu kioo unaweza uza hata Kwa 50000 usipate mteja
Sio tv TU,Hata smart foni
ukiua kioo,umeua simu mazima[emoji4]
 
Pole kaka, ilishauzwa, asante kwa kuonyesha interest, barikiwa.
 
PC 300k duh
 
Kitanda na godoro 5x6 = 250,000
Kabati la nguo = 100,000
Mtungi wa gesi, jiko na Meza yake = 120,000
Fridge ndogo = 150,000
Coffee table = 50,000

Vyote vina risiti, radio ina box lake.

Vyote vipo Dar es Salaam

mwenye uhitaji apige simu 0693733218

 
1. Lenovo Laptop - 300,000/=
500GB
Desktop name: desktop aquges 1
Processor: Intel [R] Celeron [R] N4020
RAM: 4.00GB
Device ID: 26E6E507-6F4F-47C8-B9B0-A06EDEBAF9B4
Product ID: 00331-10000-00001-AA669
System type: 64bit operating system, x64 based processor

2. LG home theater -1000W RMS
Bei - 350,000/=
LHD627 (LHD627, S67S2-S, S67T2, CW)
USB Movie playback, DVD, USB direct recording, Dolby digital, potable in, Bluetooth, HDMI, full HD, x-vid home, base blast

3. TV showcase - 70,000/=

Vyote vina risiti, vipo Dar es Salaam.

Kama unahitaji tafadhali piga simu namba 0693733218.

Karibuni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…