jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
inatumia rejeta so unaweza kwenda nayo mkoa wowote bila shida yoyote.Unaweza kutuwekea upekee wa hiyo pikipiki, mpaka kufikia hatua ya kuiuza kwa bei hiyo?
Asante mkuu kwa msaada ujuwaji mwingi hela hawana wanafikiri kila mtu anatamani kumiliki IST Hawajui kama binaadamu tuko tofautiKila siku mnajinasibu humu MNA hela,haya Mali imekuja nzuri tena mpya ila vilio vimetawala kila kona.
Kama unaona huwezi kununua kwa hiyo bei....kaa kimya acha wenye kutaka wamtafute.
Acheni kumharibia biashara,kemeeni hizo roho za kimaskini.
[emoji122][emoji122][emoji122]inatumia rejeta so unaweza kwenda nayo mkoa wowote bila shida yoyote.
body ngum mno hapo boxer akae mbali kabisaa
engine yake ina nguvu mno tofauti na body yake
hyo ni experience yangu sababu nilishawahi imiliki miaka 2 nyuma niliitoa zanzbar kwa 2.5m
usishangae hyo kuuzwa bei hyo maana ukiletewa new model yake ya 8.5m unaweza kumtukana muuzaji.
Jf humu tumejaa maskini tu na wasomi ambao wengi wetu hatuna hela. Vitu tunavyoweza kumudu ni vya wastani wa million moja kushuka chini....zaid ya hapo ni watu wachache ambao wananunua kitu kwa kukipenda na huwezi kuwasikia wakipiga miano kwenye bei. They simply contact the seller to complete the purchase.Asante mkuu kwa msaada ujuwaji mwingi hela hawana wanafikiri kila mtu anatamani kumiliki IST Hawajui kama binaadamu tuko tofauti
Mil 5 kwa hiko kidubwasha...
sio hela tu na wengi hawana ajiri.Jf humu tumejaa maskini tu na wasomi ambao wengi wetu hatuna hela. Vitu tunavyoweza kumudu ni vya wastani wa million moja kushuka chini....zaid ya hapo ni watu wachache ambao wananunua kitu kwa kukipenda na huwezi kuwasikia wakipiga miano kwenye bei. They simply contact the seller to complete the purchase.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sio hela tu na wengi hawana ajiri.
Labda apeleke Geita au simiyuHii pikipiki huwezi kuuza kwa bei hiyo ya milioni 1.5! Ukijitahidi sana utauza kwa laki kadhaa. Na ni mpaka upate mteja mbumbumbu.
Mkataba wa mwezi!Ukiuza kwa zaidi ya laki 6 niite mbwaa