Nauza bodaboda

Nauza bodaboda

Unaweza kutuwekea upekee wa hiyo pikipiki, mpaka kufikia hatua ya kuiuza kwa bei hiyo?
inatumia rejeta so unaweza kwenda nayo mkoa wowote bila shida yoyote.

body ngum mno hapo boxer akae mbali kabisaa

engine yake ina nguvu mno tofauti na body yake

hyo ni experience yangu sababu nilishawahi imiliki miaka 2 nyuma niliitoa zanzbar kwa 2.5m

usishangae hyo kuuzwa bei hyo maana ukiletewa new model yake ya 8.5m unaweza kumtukana muuzaji.
 
Kila siku mnajinasibu humu MNA hela,haya Mali imekuja nzuri tena mpya ila vilio vimetawala kila kona.
Kama unaona huwezi kununua kwa hiyo bei....kaa kimya acha wenye kutaka wamtafute.
Acheni kumharibia biashara,kemeeni hizo roho za kimaskini.
Asante mkuu kwa msaada ujuwaji mwingi hela hawana wanafikiri kila mtu anatamani kumiliki IST Hawajui kama binaadamu tuko tofauti
 
inatumia rejeta so unaweza kwenda nayo mkoa wowote bila shida yoyote.

body ngum mno hapo boxer akae mbali kabisaa

engine yake ina nguvu mno tofauti na body yake

hyo ni experience yangu sababu nilishawahi imiliki miaka 2 nyuma niliitoa zanzbar kwa 2.5m

usishangae hyo kuuzwa bei hyo maana ukiletewa new model yake ya 8.5m unaweza kumtukana muuzaji.
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Asante mkuu kwa msaada ujuwaji mwingi hela hawana wanafikiri kila mtu anatamani kumiliki IST Hawajui kama binaadamu tuko tofauti
Jf humu tumejaa maskini tu na wasomi ambao wengi wetu hatuna hela. Vitu tunavyoweza kumudu ni vya wastani wa million moja kushuka chini....zaid ya hapo ni watu wachache ambao wananunua kitu kwa kukipenda na huwezi kuwasikia wakipiga miano kwenye bei. They simply contact the seller to complete the purchase.
 
Yaani ninunue kiberiti nusu kwa elfu 50 watu wanicheke?
 
Jf humu tumejaa maskini tu na wasomi ambao wengi wetu hatuna hela. Vitu tunavyoweza kumudu ni vya wastani wa million moja kushuka chini....zaid ya hapo ni watu wachache ambao wananunua kitu kwa kukipenda na huwezi kuwasikia wakipiga miano kwenye bei. They simply contact the seller to complete the purchase.
sio hela tu na wengi hawana ajiri.
 
Namba A ishaingia mpaka uvunguni mwa lorry[emoji1787][emoji1787] nisamehe bure
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kaleta tangazo kakutana na wateja wa saa9 usiku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ungeleta asubuhi watu wamesha sota stand masaa mawili
 
Acha uongo hiyo pikipiki haikosi vipengele ...et haina tatizo lolote
 
Back
Top Bottom