jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
inatumia rejeta so unaweza kwenda nayo mkoa wowote bila shida yoyote.Unaweza kutuwekea upekee wa hiyo pikipiki, mpaka kufikia hatua ya kuiuza kwa bei hiyo?
body ngum mno hapo boxer akae mbali kabisaa
engine yake ina nguvu mno tofauti na body yake
hyo ni experience yangu sababu nilishawahi imiliki miaka 2 nyuma niliitoa zanzbar kwa 2.5m
usishangae hyo kuuzwa bei hyo maana ukiletewa new model yake ya 8.5m unaweza kumtukana muuzaji.