Nauza boma langu lililo kwenye kiwanja cha zaidi ya robo eka!!

Nauza boma langu lililo kwenye kiwanja cha zaidi ya robo eka!!

Mkuu toa na ramani ya boma
Mkuu nilinunua boma likiwa limeshajengwa,bahati mbaya kuna ujenzi mwingine nilishaanza,hela ya finishing nikanunulia huko sasa nimeshindwa mue deleza nyumba mbili kwa wakati .moja, meanwhile majukumu yakanizidia....

Ramani ambatanishi hapa chini ni kibanda changu ambacho kimekwamia kwenye kenchi!!!
 

Attachments

Mkuu nieleweshe vizuri mahali ilipo..ni njia ya Machui ya kwanza au ya pili Istikama?
 
Mkuu nieleweshe vizuri mahali ilipo..ni njia ya Machui ya kwanza au ya pili Istikama?

Mkuu njia ya kwanza kabisa Mwanzo wa Neema,ukimaliza Mwahako tu upande wa kulia,unavuka daraja la kwanza Mwahako,mkono wa kulia kuna njia kubwa-unaingia mita 200
 
Bei nzuri Sana tatizo ramani yako.

Nyumba umeijenga mfumo wa box utadhan behewa la treni

Samahan lakini, nakutakia Kila la heri
 
Kumbe wewe ndio ERIC ENOS MWAIKAMBO kwahiyo unarudi kwenu Mbeya?
Anyway Mungu akutangulie upate mteja
 
Back
Top Bottom