Nauza dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza wenye viungo

Fighter8

Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
23
Reaction score
68
Habari za Leo wapendwa!

Leo nawaletea biashara ambayo unaweza kuifanya kwa mtaji mdogo na kuifurahia. BIASHARA YA DAGAA NYAMANONO yaan dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza.

Dagaa Hawa wakiwa wabichi, huoshwa vizuri na kuwekewa viungo Kama Chumvi, Swaum, tangawizi na limao. Baada ya hapo hukaangwa na huwa tayari kwa KULIWA! Unaweza kuuza popote kwani n biashara inayogusa kila mwananchi wa Hali yoyote.

Mimi nafanya biashara hii, karibuni sana. SADO 18000, NDOO KUBWA 78000 TU. NAPATIKANA MBEZI MWISHO DAR. KILA WEEK MZIGO MPYA UNAINGIA ISIPOKUWA MUDA AMBAO ZIWA HUFUNGWA!

NIPIGIE 0789222279. NJOO ULE DAGAA WATAMU KUTOKA KWA DADA MPAMBANAJI.
#0789222279

IMG-20231217-WA0061.jpg
 
Hongera

View attachment 2875979

Hongera
Hawa dagaa ni watamu sana

Unapatikana Mbezi sehemu gani?
 
Hongera mkuu.
Naona kama bei ni kubwa sana wakati mwaloni Dagaa wabichi ndoo imejaa ni 9000/=-hadi 11000/.
Sijui kwanini biashara za mitandaoni bongo huwa ni kichaa namna hii.
78000/? Umemfikiria atakayelangua atauzaje?
Acha kuharibu biashara ya mtu wewe Binti ,Niko Mwanza kitangiri nashughulika na uvuvi hii bei Yako haipo
 
Back
Top Bottom