Top for B
JF-Expert Member
- Mar 4, 2023
- 803
- 2,796
Hao dagaa hata kama wanauzwa hiyo bei unadhani wanakaagwa na maji. Alaf hiyo bei inawateja wake wewe endelea kujikuna unga huko mabwepandeHongera mkuu.
Naona kama bei ni kubwa sana wakati mwaloni Dagaa wabichi ndoo imejaa ni 9000/=-hadi 11000/.
Sijui kwanini biashara za mitandaoni bongo huwa ni kichaa namna hii.
78000/? Umemfikiria atakayelangua atauzaje?