Nauza dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza wenye viungo

Hongera mkuu.
Naona kama bei ni kubwa sana wakati mwaloni Dagaa wabichi ndoo imejaa ni 9000/=-hadi 11000/.
Sijui kwanini biashara za mitandaoni bongo huwa ni kichaa namna hii.
78000/? Umemfikiria atakayelangua atauzaje?
Hii kamba!! Ndoo kubwa wabichi 9000 hd 11000?? We uliuziwa ndoo ya konokono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…