Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Wewe hata kama umeanza kununua kompyuta kipindi cha Adam na Hawa ila huwezi ukatumia hizi specs kwaajili ya kutukana watu.narudia tena muende kkoo ambae anaona bei yangu iko juu kwa bidhaa yenye mnyumbuliko husikaa nenda kkoo tuu na wala silazimishi mtu kununua...
siwezi kulaImisha mtu kununua cjaanza kununua computer jana wala juzi kwaio cwezi kubishana na watu wanaotaka kununua kitu kwa bei wanaitaka wao narudia tena sipo kwenye mnada
Mimi nimekua around hizi machines tangu najielewa hizi specs ni za kawaida mno. HDD 500GB? Ni kitu gani sasa wakati 1TB zimejaa siku hizi?