pango kwa mwezi bei gani??Nauza duka bei 3m haishuki, limelipiwa kodi mpka mwaka unaisha,lina leseni ya biashara inaexpire mwakani mwez wa 4 pia lina dawa za kuanzia na makabati 4 ya aluminium na mlango wake.
Location ipo Vikindu, duka lipo barabarani kusudi la kuliuza ni kuhamia mkoani kikazi,
Kwa alie interest nicheki PM.
View attachment 1860783View attachment 1860785View attachment 1860786View attachment 1860787
Nipm namba ako tafadhaliKaribu sana
Ni dm namba yako mkuuNauza duka bei 3m haishuki, limelipiwa kodi mpka mwaka unaisha,lina leseni ya biashara inaexpire mwakani mwez wa 4 pia lina dawa za kuanzia na makabati 4 ya aluminium na mlango wake.
Location ipo Vikindu, duka lipo barabarani kusudi la kuliuza ni kuhamia mkoani kikazi,
Kwa alie interest nicheki PM.
View attachment 1860783View attachment 1860785View attachment 1860786View attachment 1860787
We mbassa sijui mbelele natamani sana hiyo biashara ila location mbali sana chief katika usimamiziDuka bado lipo .... alie interest anicheki 0745712548
Vp Tin number unaweza endelea kutumia au kubadilisha?Duka bado lipo .... alie interest anicheki 0745712548
Mkuu hakuna anaelazimishwa mkuu swala sjo kuachiwa msala duka lipo hapo tangu 2017... wala halijaanza jana wala juzi, dawa ndo hzo maana sijataka kuongeza mzgo mwngne na ilihali sitakuwepo... na pia kwa bei hio kuna hayo makabati na baadhi ya vitu vingine ukiamua waweza kupabadilisha kwenda biashara ingne...hapo duka lilipo ni stendi mkuuVp Tin number unaweza endelea kutumia au kubadilisha?
Na hizo dawa ndo hizo tu au kuna dawa store?
Mauzo KWA siku yakoje?
Na vikindu sehemu Gani TOKA Barabara kuu?Je ni mtaani au visoko/madukani.
Hela ngumu mzee,visingizio vya kuhamia mkoani na kuwaachia watu misala mpate kuuza imezid sasa
UpdateNauza duka bei 3m haishuki, limelipiwa kodi mpka mwaka unaisha,lina leseni ya biashara inaexpire mwakani mwez wa 4 pia lina dawa za kuanzia na makabati 4 ya aluminium na mlango wake.
Location ipo Vikindu, duka lipo barabarani kusudi la kuliuza ni kuhamia mkoani kikazi,
Kwa alie interest nicheki 0745712548
View attachment 1860783View attachment 1860785View attachment 1860786View attachment 1860787
UmeuzaShukrani mkuu
Mkuu hakuna anaelazimishwa mkuu swala sjo kuachiwa msala duka lipo hapo tangu 2017... wala halijaanza jana wala juzi, dawa ndo hzo maana sijataka kuongeza mzgo mwngne na ilihali sitakuwepo... na pia kwa bei hio kuna hayo makabati na baadhi ya vitu vingine ukiamua waweza kupabadilisha kwenda biashara ingne...hapo duka lilipo ni stendi mkuu