INAUZWA Nauza duka la dawa muhimu (DLDM)

INAUZWA Nauza duka la dawa muhimu (DLDM)

Mbassa jr

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
1,234
Reaction score
3,213
Nauza duka bei 3m haishuki, limelipiwa kodi mpka mwaka unaisha,lina leseni ya biashara inaexpire mwakani mwez wa 4 pia lina dawa za kuanzia na makabati 4 ya aluminium na mlango wake.

Location ipo Vikindu, duka lipo barabarani kusudi la kuliuza ni kuhamia mkoani kikazi,

Kwa alie interest nicheki .

20210720_113906.jpg
20210720_113930.jpg
20210720_113952.jpg
20210720_114021.jpg

Update
Naendelea kupokea simu za watu kuulizia kama duka bado lipo... ndugu zangu duka lilishapata wateja siku nyingi na kuuzwa
 
Duka bado lipo .... alie interest anicheki 0745712548
Vp Tin number unaweza endelea kutumia au kubadilisha?
Na hizo dawa ndo hizo tu au kuna dawa store?
Mauzo KWA siku yakoje?
Na vikindu sehemu Gani TOKA Barabara kuu?Je ni mtaani au visoko/madukani.

Hela ngumu mzee,visingizio vya kuhamia mkoani na kuwaachia watu misala mpate kuuza imezid sasa
 
Mkuu hakuna anaelazimishwa mkuu swala sjo kuachiwa msala duka lipo hapo tangu 2017... wala halijaanza jana wala juzi, dawa ndo hzo maana sijataka kuongeza mzgo mwngne na ilihali sitakuwepo... na pia kwa bei hio kuna hayo makabati na baadhi ya vitu vingine ukiamua waweza kupabadilisha kwenda biashara ingne...hapo duka lilipo ni stendi mkuu
 
Nauza duka bei 3m haishuki, limelipiwa kodi mpka mwaka unaisha,lina leseni ya biashara inaexpire mwakani mwez wa 4 pia lina dawa za kuanzia na makabati 4 ya aluminium na mlango wake.

Location ipo Vikindu, duka lipo barabarani kusudi la kuliuza ni kuhamia mkoani kikazi,

Kwa alie interest nicheki 0745712548

View attachment 1860783View attachment 1860785View attachment 1860786View attachment 1860787
Update
Baada ya kukosa mteja kwa sababu mbalimbali na duka lilikuwa linaendelea kuoperate dawa ziliopo ni chache hvyo kwa sasa nauza makabati 4 na mlango 1 mkubwa wa aluminiam bei ni 2m kwa vyote... alie interest namba ipo hapo anicheki.

Mod naomba mnisaidie kuedit heading kuwa nauza makabati ya aluminium na mlango .
 
Bei nzuri kabisa sema wote waliokoment hakuna wanunuzi ila kila la heri hilo duka liko vizuri na mazingira rafiki ni ubunifu wa mnunuzi tu kuongeza huduma
 
Tatizo hio hela nyingi halafu utajikuta unanunua makabati tu 😅!
Kwa hizo dawa hapo thamani yake hata laki 8 hazifiki..
 
N
Mkuu hakuna anaelazimishwa mkuu swala sjo kuachiwa msala duka lipo hapo tangu 2017... wala halijaanza jana wala juzi, dawa ndo hzo maana sijataka kuongeza mzgo mwngne na ilihali sitakuwepo... na pia kwa bei hio kuna hayo makabati na baadhi ya vitu vingine ukiamua waweza kupabadilisha kwenda biashara ingne...hapo duka lilipo ni stendi mkuu

Mbona unaulizwa wastan wa mauzo hujibu
 
Back
Top Bottom