DepreciationHapo ilitakiwa iwe million 6.5
Container 20ft 4 million
Pikipiki 1.5 million
Vinywaji na hayo na kreti 1 million
Mkuu Vinywaji worth laki 7 Plus Crates za beer na soda combined almost 200 ndio iwe Milion moja? Tuwe serious na biashara za watu.Hapo ilitakiwa iwe million 6.5
Container 20ft 4 million
Pikipiki 1.5 million
Vinywaji na hayo na kreti 1 million
Sawa mkuu nimeonaNimeweka mkuu,
Kama ulinunua 5 million basi ulipigwaMkuu Vinywaji worth laki 7 Plus Crates za beer na soda combined almost 200 ndio iwe Milion moja? Tuwe serious na biashara za watu.
Container nimenunua new mil 5.2 kabisa nimekata mwenyewe, sio yale ya kununua mtaani ya mil3.
Wala sio kikatiliHata kama dePreciation, jamaa kaiDEPRECIATE kikatili sana asee
Daah wewe unamjua vizurBiashara yako ilikuwa nzuri mkuu ila mama Samia alipoondoa mabanda barabaran ndio alikupotezeaa watejaa nakumbukaa mwanzo ulikuwa njiaa nne kbs pale kabla yakuhamia lalata ,,yule dadaa bonge ameshndwa kusisimamia biashara kwel au lalata pale amekufunika yule mpnzan wako wa karibu na barbershop palee maana anakimbizaaa c poaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app