Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
- Thread starter
- #21
Dah, nipe code nikufahamu kaka. Upinzani wa biashara upo kila siku, sema cha msingi ni kutoa huduma bora.Biashara yako ilikuwa nzuri mkuu ila mama Samia alipoondoa mabanda barabaran ndio alikupotezeaa watejaa nakumbukaa mwanzo ulikuwa njiaa nne kbs pale kabla yakuhamia lalata ,,yule dadaa bonge ameshndwa kusisimamia biashara kwel au lalata pale amekufunika yule mpnzan wako wa karibu na barbershop palee maana anakimbizaaa c poaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema tatizo kubwa lilikuwa usimamizi maana mimi muda mwingi sikuwa Dar, inaweza pita hata miezi mitatu, ukirudi hasara, inabidi uonzee hela dukani, nikashindwa hapo.