INAUZWA Nauza Duka la vinywaji (Container, Crates na mkataba wa eneo) GOBA Njia nne

Dah, nipe code nikufahamu kaka. Upinzani wa biashara upo kila siku, sema cha msingi ni kutoa huduma bora.

Sema tatizo kubwa lilikuwa usimamizi maana mimi muda mwingi sikuwa Dar, inaweza pita hata miezi mitatu, ukirudi hasara, inabidi uonzee hela dukani, nikashindwa hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…