Nauza eneo la chips na mgahawa kwa bei nafuu kabisa

Nauza eneo la chips na mgahawa kwa bei nafuu kabisa

Biashara nzuri. Ila Nina shaka kwamba unauza hifadhi ya barabara
Hapana ndugu, ni sehemu maalumu imetengwa kwa ajili ya biashara na Mm ndio mmiliki, ukilitaka tutafata kila utaratibu wa kuhamisha umiliki
 
Lina viti au mabenchi?
weka picha
Tuma picha tuone eneo hilo
IMG-20240709-WA0003.jpg
IMG-20240709-WA0002.jpg
IMG-20240709-WA0004.jpg
 
Eneo ni zuri kwa biashara unalipata kwa milioni moja na laki nane 1,800,000

Maelewano yapo wakuu 🙏
 
Back
Top Bottom