Nauza eneo la chips na mgahawa kwa bei nafuu kabisa

Nauza eneo la chips na mgahawa kwa bei nafuu kabisa

Eneo lipo Kinyerezi mwisho mkabara na IKUPA SUPERMARKET Stendi ya zamani ni hatua kumi za miguu kuikuta Barabara kuu ya kutoka Mbezi kwenda mjini, pia eneo lina banda lenye kabati mbili zenye ukubwa wa futi tatu kwa marefu na futi mbili kwa mapana. Ukubwa wa eneo ni futi 10 kwa futi 7 na nusu karibuni.

Mawasiliano yangu napatikana +255788317776

Naitwa GYGA au GERALD ANTONY LYAPEGA karibu sana ofa yangu ni Million 1 na laki nane 1,800,000

Pia eneo lina mpangaji wa mgahawa analipa laki moja 100,000 kwa mwezi ila yeye hana uwezo wa kulinunua, hvy ukilinunua hili eneo utapewa na huyo mpangaji na utajua cha kufanya mana tayar ww ndio utakuwa mmiliki.

View attachment 3038480View attachment 3038481View attachment 3038482
sehemu ya kukaa wateja mbna siioni mkuu
 
Back
Top Bottom