Plot4Sale Nauza eneo langu lilipo Kibaha kwa Mathias -Mikongeni

Umenikumbusha matangazo na mabango ya Boss Kwezi.

Jamaa kachafua jiji zima na mabango yake ya viwanja viwanja viwanjaa!!

Watanzania wanapenda viwanja sana, Hasa wanawake.
Nimewahi sikia kasambaza matangazo kila mahali
 
Mkuu,

Unaweza weka picha mbalimbali za hilo eneo (tuone LandScaping yake), Lipo umbali gani kutoka mororgoro road?
 
Umenikumbusha matangazo na mabango ya Boss Kwezi.

Jamaa kachafua jiji zima na mabango yake ya viwanja viwanja viwanjaa!!

Watanzania wanapenda viwanja sana, Hasa wanawake.
Yaani unakuwa na Mwanamke na huna kiwanja anakuona huna maana
 
Plot bado ipo, karibuni wakuu nimeweka na attachments .
 
Mtu chake kiongozi piga kazi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…