Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
100000 ipo mkononiWapendwa.
Siko hapa kwa ajili ya ku expose shida zangu, ila naomba msaada kwenu ndugu zangu.
Ninauza hard disk ya 2TB ninahitaji sh. 200,000/- tu ili nilipie fremu ya biashara.
Kudanga siwezi, wala sio hulka yangu, ndio nimeingia rasmi kwenye ujasiriamali.
Call +255 755 233 968
Big no100000 ipo mkononi
140k njoo uchukue kkoo mtaa wa Aggrey na LikomaBig no
Naomba namba yako ya simu140k njoo uchukue kkoo mtaa wa Aggrey na Likoma
200k ni bei ya mpya dukani
OK! Ikifika kwa laki, nistueBig no
Ikishuka kwa 100k, nistue140k njoo uchukue kkoo mtaa wa Aggrey na Likoma
200k ni bei ya mpya dukani
Kama kachawi vile, mtu wa laki arobaini kajitokeza, hutaki anunue unataka ununue wewe na laki yakoIkishuka kwa 100k, nistue
Umesoma kweli wewe? Ndo umeandika nini sasa hapoKama kachawi vile, mtu wa laki arobaini kajitokeza, hutaki ununue unataka ununue wewe na laki yako
MakorokochoUmesoma kweli wewe? Ndo umeandika nini sasa hapo
PM yangu iko wazi, anakaribishwajongea PM bibie, usikatae wito
gwankaja kazi kwakoPM yangu iko wazi, anakaribishwa
Naomba namba yako ya simu
SijakuelewaYani kwamba utainunua au? Yani wewe yawezekana Ni mwongo mpaka kusema udanganyi ndo actually nia ya kuhadaa kijanja
Aweke kapicha kwanza asije agayavagaa ya wazeegwankaja kazi kwako
Aweke kapicha kwanza asije agayavagaa ya wazee
kwa kweli, unawezakuta ni dumeAweke kapicha kwanza asije agayavagaa ya wazee
NimekupendaView attachment 2111472
Picha tayari
Tena dume la simba, wala sio gendaheka la nyanikwa kweli, unawezakuta ni dume