Nauza fridge, kabati, feni, zulia na rice cooker

Nauza fridge, kabati, feni, zulia na rice cooker

kakamgeni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2018
Posts
241
Reaction score
201
Habari zenu wadau wa Jamiiforums, matumaini yangu kuwa hamjambo, wakati tukielekea kuumaliza mwaka 2018 kuingia 2019 na zikiwa zimebaki siku chache, nikaona ni vyema niwatangazie kuwa nauza vitu tajwa hapo juu.

Fridge aina ya PINETECH milango miwili = Tsh420,000(Mazungumzo yapo), Kabati jeusi la vyombo original milango miwili = 330,000(Mazungumzo yapo), Zulia la manyoya = Tsh 65,000(Mazungumzo yapo), Fan aina ya Panasonic maarufu kama Panga boy = Tsh 65,000(Mazungumzo yapo) Na Rice Cooker ya kupikia hata kilo3 na kuendelea Tsh 50,000(Mazungumzo yapo).

Nimeambatanisha na baadhi ya picha zake, vitu vyote nimetumia kwa takribani kipindi cha miezi 6 hivyo vipo kwenye hali nzuri, lengo la kuuza ni kuwa nataka nikaangalie utaratibu mwingine ugaibuni.

Kwa Mawasiliano : +255 629 22 76 97 (Karibu Sana). Napatikana Dar es salaam
 

Attachments

  • IMG_20181220_171039.jpg
    IMG_20181220_171039.jpg
    87.5 KB · Views: 124
  • IMG_20181220_171100.jpg
    IMG_20181220_171100.jpg
    93 KB · Views: 98
  • IMG_20181220_171113.jpg
    IMG_20181220_171113.jpg
    108.4 KB · Views: 111
  • IMG_20181209_185100.jpg
    IMG_20181209_185100.jpg
    64.1 KB · Views: 117
  • IMG_20181210_073758.jpg
    IMG_20181210_073758.jpg
    51.8 KB · Views: 88
  • IMG_20181210_073828.jpg
    IMG_20181210_073828.jpg
    92.2 KB · Views: 115
  • IMG_20181220_184226.jpg
    IMG_20181220_184226.jpg
    56.6 KB · Views: 63
  • IMG_20181220_184238.jpg
    IMG_20181220_184238.jpg
    115.8 KB · Views: 63
  • IMG_20181220_184248.jpg
    IMG_20181220_184248.jpg
    97.8 KB · Views: 60
Bei zako kubwa sana mkuu au ni dalali wewe?
Hapana sio dalali, mimi ndio mwenye vitu na nauza, ndio maana nikasema MAZUNGUMZO YAPO wala usiogope Jembe, hatuwezi kushindwana, hata ukitaka vyote tunaweza kuba-gain nikuuzie kwa bei nafuu.
 
na huo mtambo wa kuvutia shisha nao unauza mkuu!!!?
 
Back
Top Bottom