Nauza fridge, kabati, feni, zulia na rice cooker

Nauza fridge, kabati, feni, zulia na rice cooker

Picha Ya Zulia
IMG_20181221_155601.jpeg
 
Bei zako kubwa sana mkuu au ni dalali wewe?
Ajitahidi aweke bei rafiki.
Jana nimeenda kununua viatu vya watoto vya shule nimefika duka la kwanza nikaambiwa 22000 bei ya kuuza 20000 nikaenda mbele nikaona 17000 nikalialia nikaambiwa 15000 nikanunue pea mbili Kwa elfu 30.Nimeenda duka jingine tena nikaona viatu vile vile vinauzwa elfu kumi na nne aisee nikasema hapa ni mjini.
 
Duh pole sana mkuu
 
Hapana Sio Kweli.. JIFUNZE KUZUNGUMZA UKWELI.... Simu Yangu Iko Hewani 24/7 Hukupiga Wala Kutuma Ujumbe
Nimekupigia simu majuz nije chukua rice cooker hiyo holaa, nime text holaa

bado ipo??
 
Hapana Sio Kweli.. JIFUNZE KUZUNGUMZA UKWELI.... Simu Yangu Iko Hewani 24/7 Hukupiga Wala Kutuma Ujumbe
hiyo namba ni yako sio yako??

Mimi na wewe nani ajifunze kusema ukweli??? ngoja nitafute na screenshot ya calls
Screenshot_2018-12-23-20-21-52.jpg
 
Hapana Hii Text Sikuipata Japo Namba Ni Yangu...
Hizo tik mbili zinaashiria nn hapo kwenye text?? umeshindwa kua mkwel hata kwenye hilo?? nilipiga simu mbili pia kama inavyoonekana hapo

Bado rice cooker ipo? niifuate kesho
IMG-20181223-WA0021.jpg
 
Back
Top Bottom