Nauza fridge, kabati, feni, zulia na rice cooker

Tv vp huuzi?
Tayari nimeshauza, Vilivyobakia ni king'amuzi cha Dstv na ungo wake = Tsh 60,000, Kabati la milango miwili=330,000(Mazungumzo yapo), Rice Cooker, Jiko Dogo la Gas(Mihan), Zulia la manyoya, pamoja na glass, sahani kali za udongo
 
Dstv na ungo 50000 mkuu.
 
Nataka hiyo rice cooker nina 30,000/= cash
 
Tayari nimeshauza, Vilivyobakia ni king'amuzi cha Dstv na ungo wake = Tsh 60,000, Kabati la milango miwili=330,000(Mazungumzo yapo), Rice Cooker, Jiko Dogo la Gas(Mihan), Zulia la manyoya, pamoja na glass, sahani kali za udongo
vip icho king'amuzi cha Dstv bado kipo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…