Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ahahahahaahaa kwa hilo gari siwezi kuwa mteja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro hongera kwa kuweka tangazo kwa lugha nzuri ya Kitanzania pole kwa kejeri unazopewa na watu wenye akili za malezi ya kiteja.
Watu wa jamiiforum ni wa ajabu sana. Nishakumbana nao katika posti yangu moja katika harakati za kimaisha lkn nilisimamia ninachokiamini. Kaka wenye nia na hiyo gari watakutafuta maana hujaomba uchangiwe pesa humu JF maana ungeitwa tapeli na kibaka. Stand up wiz ur dream.
Bei inapungua mpaka ngapi mkuu..??gari bado ipo
itategemea na wewe utakapokuja kuiona na kama utakuwa na nia ya kuinunua wewe unaniambia pungufu yako kama inawezekana tunafanya biashara kwahivyo kuwa na amanBei inapungua mpaka ngapi mkuu..??
Hongera kwa kudhani kila anayesema tofauti na unavyofikiri basi ni mtoto...
Anyway weka gari ya mwaka gani..
Weka lini gari limeingia Tanzania...
Sawa....... naona umeandika ukubwa rasmiHuu ndio utoto rasmi sasa
JAMANI MTU ANATAKA ANUNUE KWANI AKIULIZA KAKOSEA BESTITOAcha kusumbua watu,wewe sio mteja.
braza laki 5 unachukua?
Gari yenyewe umeiyona??nani atatoa m4 kwa hiyo gari???Mmmmhhhh.... Pandisha bei kidogo ukitaka kuiuza... Anza walau 4m. 2m watu tutaogopa
gari bado ipo, changamkia fursa