Car4Sale Nauza gari Mitsubish Outlander (2009), bei ni Tsh. Mil 18

Car4Sale Nauza gari Mitsubish Outlander (2009), bei ni Tsh. Mil 18

Nataman tangazo hili lingekua limepostiwa april 25. Maana ndo ntakua na pesa na gari hii ndo dream.
 
Nataman tangazo hili lingekua limepostiwa april 25. Maana ndo ntakua na pesa na gari hii ndo dream.
Gari bado ipo ila sijui kama itakuwepo hadi muda huo. Na kama ni dream car yako basi ungekuwa na bahati sana maana ungepata gari la uhakika na nakuhakikishia lisingekusumbua chochote. Ukiachana na hilo, nakuombea upate pesa nyingi zaidi ya unazozifikiria ili utimize ndoto yako comfortably. 👊🏿
 
Wadau, gari bado lipo. Kwa anayehitaji, mawasiliano ni 0746311251. Ruksa kukagua muda wowote.
 
Hivi kumbe inawezekana kununua gari mwaka 2022 kipindi usajili ni number D nikaja kusajili miaka miwili mbeleni number ikianza E?
 
Hivi kumbe inawezekana kununua gari mwaka 2022 kipindi usajili ni number D nikaja kusajili miaka miwili mbeleni number ikianza E?
Sina uhakika kama nimelielewa swali lako vizuri ila kama unaongelea hili gari basi ngoja nikupe maelezo kidogo.

Gari limenunuliwa Sept 2022 na muda huo usajili tayari ulikuwa umeingia “E” na ndiomana ni EAM. Kama kumbukumbu zangu zipo vizuri nafikiri usajili wa namba “D” uliisha around Mid of 2022.
 
Back
Top Bottom