Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu, ni Dodoma sehemu gani tuione mali?Kwa sasa nahitaji pesa tu maana kwa safari zangu gari sina matumizi nalo kabisa na hata hili lilikuwa limepaki tu kwa karibu mwaka na nusu. Zaidi ni linawashwa na kuzimwa.
What a coincidenceKwa sasahivi nipo maeneo ya Area A karibu na Bistro ila home ambapo gari inapaki ni Uzunguni karibu na Waswanu Bar.
Sawa sawaaWala usijali chief. Ukiwa tayari nicheck kwenye namba yangu. Hata kama sitakuwepo Dom basi nitakuelekeza home utakutana na mtu atakupa ukague.