Tatizo umekosea kutangaza inaelekea wewe nindalali ambaye hutambuliki inataka kutafuta mtega ndiyo uende kumuuza kwa wamiliki.Jengo la ghorofa 2 na nyumba ya chini zote zinauzwa Kijitonyama Ghorofa Lina vyumba 6 ambavyo ni master vyote Nyumba ya chini ina vyumba 3, kimoja master, jiko, sitting room na public toilet...
mmiliki wa mjengo kama huo hawezikuwa na muda wa kutafuta wateja ndio maana anatoa kazi kwa madalali wamsaidie...Tatizo umekosea kutangaza inaelekea wewe nindalali ambaye hutambuliki inataka kutafuta mtega ndiyo uende kumuuza kwa wamiliki...
mmiliki wa mjengo kama huo hawezikuwa na muda wa kutafuta wateja ndio maana anatoa kazi kwa madalali wamsaidie...
ndio maana nimeweka mawasiliano kwa lolote ambalo ungehitaji kufahamu unapiga zimu
Sababu ya kuuza sidhani kama ni suala lam kutangaziana mtandaoni..hii sio mkopo wa benki anayeuza ni mmiliki
wewe unataka mtu atangaze shida zake utamsaidia?Sasa kama sio βsuala la kutangaziana mtandaoniβ Mbona umeleta kwa mitandao tangazo la biashara yako?
Hawa wote wanaokudadisi na kuulizia mambo mengi hawana fedha. Mtu mwenye fedha atatumia namba uliyotoa kuulizia zaidi.mmiliki wa mjengo kama huo hawezikuwa na muda wa kutafuta wateja ndio maana anatoa kazi kwa madalali wamsaidie...
hawa hawanisumbui nishawazoea...Hawa wote wanaokudadisi na kuulizia mambo mengi hawana fedha. Mtu mwenye fedha atatumia namba uliyotoa kuulizia zaidi. Ona kuna mpaka anayesema useme sababu ya kuuza! Hili ni tangazo la awali na kama anataka kujua mambo mengine kwa undani mwambie akupigie.
mmiliki wa mjengo kama huo hawezikuwa na muda wa kutafuta wateja ndio maana anatoa kazi kwa madalali wamsaidie...
ndio maana nimeweka mawasiliano kwa lolote ambalo ungehitaji kufahamu unapiga zimu
Sababu ya kuuza sidhani kama ni suala lam kutangaziana mtandaoni..hii sio mkopo wa benki anayeuza ni mmiliki
[emoji3][emoji3]kwamba biashara ya 500 milion inapigwaa picha moja amaizing namna hii!!!
detail gani iliyopelea hapo?Kama navyosema ungeweka picha na details za kutosha hapo ulichoweka ni pesa tu. Usije ukawa hata picha huruhusiwi kupiga. Hata kama ni dalali unatakiwa utambulike na wamiliki
detail gani iliyopelea hapo?
mbona wapo waliopiga simu na kuuliza biashara kama bado ipo
sijui wewe unachotaka nini zaidi
maana naona subject yako ni mimi zaidi kuliko tangazo
Jengo la ghorofa 2 na nyumba ya chini zote zinauzwa Kijitonyama Ghorofa Lina vyumba 6 ambavyo ni master vyote Nyumba ya chini ina vyumba 3, kimoja master, jiko, sitting room na public toilet.
Plot size Sqm 750
Clean title deed (HATI MILIKI IPO)
BEI MILIONI 500 (500,000,000)
Mawasilinao 0782 780980
View attachment 2282175
Huo muda wa kuzunguka kwenye Mabenki yote utautoa wapi??unafikiri Bank zinatoa taarifa za wateja kirahisi hivyo enh!!!verification inafanywa Wizara ya Ardhi kwenye SystemKwa mnunuzi yafuatayo zingati
1.Nenda Ardhi/mipango miji jiridhishe future usage la eneo ambalo hiyo ghorofa imejengwa
2.The true owner
3.Trace kwenye mabank yote
4.Hakikisha haina mgogoro wowote ule
5.Etc