Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Umaskini ni mbaya sana...
Ukiwa maskini unakua na hasira hata kwa vitu visivyokuhusu,ukiona mtu anatumia chake unaona anatumia vibaya..
Tens ukiwa maskini na bado una umaskini wa fikra ndo kwishaa!