Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

Car4Sale Nauza haya magari bila udalali

Bei ninazo tja hapo chini zinatoka kwa wamiliki wenyewe me sijaongeza chochote kama mtu utahtaji Gari na unaona bei kubwa basi nitakukutanisha na mwenye gari ili muweze kuzungumza wawili na endapo mtafika muafaka basi mnunuaji utanchangia kidogo pamoja na mwenye gari ili maisha yaende

Pia kwa wanaohtaji kuagiza magari nje
Iwe UK ,JAPAN , AMERICA, DUBAI chini ya kampuni makini na wazoefu kabisa mnakarbishwa utaagizwa gar uipendayo kwa muda muafaka kila kitu utalpia mwenyewe kuanzia invoice itakayotoka japan adi ushuhuru wa bandarin.

Pia kama una gari unauza unaweza nichek utaratibu ndio huo huo siongezi bei ya gari naiuza kama mwenye gari unavyotaka Mimi pesa utanipa Wewe mwenye gari ukishauza

Karibuni jina langu naitwa Yohana

Mobile : 0673263071
Location: Kijitonyama View attachment 808955View attachment 808956View attachment 808957View attachment 808959

Toyota Allion
Mwaka 2002
Cc 1700
Bei 8,500,000
Check subaru legacy 2008 ama 2011/2013 s wagon touring

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Check subaru legacy 2008 ama 2011/2013 s wagon touring

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa haraka haraka hii chombo ni 14m ipo mpaka nje we nikuweka bima tuuh
Sababu hyoo nyeupe ni USD 2,700
Wanaweza kushuka ad 2,500
Angalia ushuhuru apo chini alafu weka port chargers
car_image%20(1).jpeg
car_image%20(2).jpeg
car_image.jpeg
car_image%20(5).jpeg
car_image%20(4).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia kama WATAKA AGIZA GARI au una gari unauza unaweza nichek utaratibu ndio huo huo siongezi bei ya gari naiuza kama mwenye gari unavyotaka Mimi pesa utanipa Wewe mwenye gari ukishauza

Call ,whatsApp
0673263071

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom