Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 408
Subaru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Check subaru legacy 2008 ama 2011/2013 s wagon touringBei ninazo tja hapo chini zinatoka kwa wamiliki wenyewe me sijaongeza chochote kama mtu utahtaji Gari na unaona bei kubwa basi nitakukutanisha na mwenye gari ili muweze kuzungumza wawili na endapo mtafika muafaka basi mnunuaji utanchangia kidogo pamoja na mwenye gari ili maisha yaende
Pia kwa wanaohtaji kuagiza magari nje
Iwe UK ,JAPAN , AMERICA, DUBAI chini ya kampuni makini na wazoefu kabisa mnakarbishwa utaagizwa gar uipendayo kwa muda muafaka kila kitu utalpia mwenyewe kuanzia invoice itakayotoka japan adi ushuhuru wa bandarin.
Pia kama una gari unauza unaweza nichek utaratibu ndio huo huo siongezi bei ya gari naiuza kama mwenye gari unavyotaka Mimi pesa utanipa Wewe mwenye gari ukishauza
Karibuni jina langu naitwa Yohana
Mobile : 0673263071
Location: Kijitonyama View attachment 808955View attachment 808956View attachment 808957View attachment 808959
Toyota Allion
Mwaka 2002
Cc 1700
Bei 8,500,000
Kwa haraka haraka hii chombo ni 14m ipo mpaka nje we nikuweka bima tuuh
Yani kuna watu wa ajabu kweli mtu kavamia uzi tu na kuweka utumbo wake wakati ulishajitambulisha mwanzoni mwa uzi..Inshort achana nae.
Hiyo caldina ipo bado je ni manual?Toyota caldina
Mwaka 2002
Cc 1700
7,000,000View attachment 808982View attachment 808983View attachment 808984View attachment 808985View attachment 808986
Halo
Mkuu pc za hii mbona huweki nimenogewa na upya upya huoVITZ
2004
Cc1290
6MView attachment 854189View attachment 854188View attachment 854190
Sent using Jamii Forums mobile app