Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mnunulie wizo....Mashallah nzuri sana nimezipenda
NakuombeaMatajiri hamjambo......
Nauza hereni zangu, mmiliki mimi....ni gram 1.4 nahitaji laki 3 tu ya fasta, ila ukiniongezea nitashukuru...
Kaka zangu haya zawadi ya weekend mkawasapraizi muwapendao.
Serious buyer njoo pm, unipe location nkuletee, Dar tu....mikoani situmi.
Risiti nlionunulia ipoView attachment 3123639
View attachment 3123640
Sonara anataka kwa nusu bei nlionunulia, hapana hiyo bei....heri niendelee kupendeza nazo.Dhahabu haiuzwi kama silver iyo popote unauza mkuu nenda sonara kubwa wanakupa ela
Nakuja bro nakuja......jina litakuja Eve 😹Ukianza kuuza vitu vya mwilini mwako ni dalili ya kufirisika,njoo pm na namba zako za mpesa nikujaze mapesa mwalimu .
Usijinenee hivyo, unazuia baraka zako kukufata.....Kwa heshima uliyojijengea humu ndani huna baya nakutabiria lazima upate mteja ma boss wapo humu ndani watu wakubwa...me kapuku niwe mkweli sina hio hela hats ingekuwa 30000 ningekosa
Fanya hivyoNakuja bro nakuja......jina litakuja Eve 😹
Ndio used ila zina GB mbili broKila la heri, kwa hiyo ni used?
Katoe ile hela pale mnunulie, au unamnunulia za chinga wa dunia?Kumnunulia napenda tatzo chapaa. Doho!
Kweli mke wangu nimnunulie hereni used! Inaleta ukakasiNdio used ila zina GB mbili bro
Kamuuzie mama yako mzazi kwani yeye hataki kuvaa apendeze?Matajiri hamjambo......
Nauza hereni zangu, mmiliki mimi....ni gram 1.4 nahitaji laki 3 tu ya fasta, ila ukiniongezea nitashukuru...
Kaka zangu haya zawadi ya weekend mkawasapraizi muwapendao.
Serious buyer njoo pm, unipe location nkuletee, Dar tu....mikoani situmi.
Risiti nlionunulia ipoView attachment 3123639
View attachment 3123640
Ndio hataki....Kamuuzie mama yako mzazi kwani yeye hataki kuvaa apendeze?