Nauza hereni za dhahabu....

Nauza hereni za dhahabu....

Matajiri hamjambo......

Nauza hereni zangu, mmiliki mimi....ni gram 1.4 nahitaji laki 3 tu ya fasta, ila ukiniongezea nitashukuru...

Kaka zangu haya zawadi ya weekend mkawasapraizi muwapendao.

Serious buyer njoo pm, unipe location nkuletee, Dar tu....mikoani situmi.

Risiti nlionunulia ipoView attachment 3123639
View attachment 3123640
Eva ngoja nitumie hii opportunity kukuona live unafananaje
 
Back
Top Bottom