Nauza hereni za dhahabu....

Nauza hereni za dhahabu....

Sio kweli hiyo kauli walikua wanaambiwa Babu zetu ili wasifiche Gold wampelekee muhindi kuuza..walitumia mbinu nyingi sana
Basi mimi huwa najiuliza sana hereni na cheni zangu zilipotea vipi ndani. Kwanza nilikuwa naishi peke yangu, sikuwahi kuleta rafiki au mtu yoyote ndani kusema may be aliniibia. Sikuwa na mazoea na majirani kusema anaweza kuwa suspect. Sema Mungu ndio anajua
 
Tatizo ni kumbukumbu kujua uliweka wapi mara ya mwisho ndio tatizo ila haziwezi kuyeyuka kama unavyofikiria..
 
Napenda dhahabu sababu mimi ni mvivu wa kuvua vua na kuvaa. Toka 1997 sijazivua masikioni kwangu. Nikivua naziosha narudisha masikioni.
 
Back
Top Bottom