Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
wewe mugglin au King'asti sijaanza kununua hisa jana au leo, nina uelewa wa kutosha kuhusu hiki ninachokifanya. Huna hadhi ya kunielimisha kuhusu hilo, kama nilinunua jua ninaweza kuuza. ninachokifanya mimi ni kumtafuta mtu then mauzo tunaenda kufanyia sokoni au kwa broker, usiwe unakurupuka.Hisa zinauziwa kwenye soko la hisa. Nenda kampuni ya udalali uwaeleze na watakusaidia kuuza. Usituletee mambo ya pap sijui nini nini hapa
hapana mkuu siwezi tumia njia ya kihuni kama hiyoNi kwl mkuu hisa aziuzwi km unavytaka ww labda umpe hati uliyonunulia uyo atakae kubali kuuziwa Kw ivyo ila sio nzr sn ksheria
umeamkaje lakini?Hehehe maadamu umesema sina hadhi ya kukuelimisha, i rest my case.
Msako mwema ndugu
umeamkaje lakini?
Pole na uchovu maana kazi ulifanyishwa usiku pale kimboka najua haikuwa rahisi.Ndio naingia kulala sasa. Nikutakie siku na biashara njema mkuu
Pole na uchovu maana kazi ulifanyishwa usiku pale kimboka najua haikuwa rahisi.
ni kweli, lakini sio sifa. Uache hiyo tabia mara nyingi sana nakwambiaUsijali. Ndio kutafuta mkate ndugu yangu. Mshukuru Mungu wewe unafanya biashara soko la hisa wenzio tunasimama kimboka usiku kucha kusubiria hela zako
Kwa mtu anayehitaji kununua hisa, mi nauza hisa zangu za Mkombozi Bank. Zipo 643
Bei ya sokoni kwasasa ni sh. 1500 kwa hisa moja but we can negotiate.
Usijali. Ndio kutafuta mkate ndugu yangu. Mshukuru Mungu wewe unafanya biashara soko la hisa wenzio tunasimama kimboka usiku kucha kusubiria hela zako
Mh mnakoelekea kuzito.....
Achana nae, attention seeker tu huyo hana lolote.
Achana nae, attention seeker tu huyo hana lolote.
Hivi Pou huwa hapiti huku siku hizi au umemfungia...?