Nauza hisa zangu

Nauza hisa zangu

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,610
Kwa mtu anayehitaji kununua hisa, mi nauza hisa zangu za Mkombozi Bank. Zipo 643

Bei ya sokoni kwasasa ni sh. 1500 kwa hisa moja but we can negotiate.
 
Hisa zinauziwa kwenye soko la hisa. Nenda kampuni ya udalali uwaeleze na watakusaidia kuuza. Usituletee mambo ya pap sijui nini nini hapa
 
Ni kwl mkuu hisa aziuzwi km unavytaka ww labda umpe hati uliyonunulia uyo atakae kubali kuuziwa Kw ivyo ila sio nzr sn ksheria
 
Hisa zinauziwa kwenye soko la hisa. Nenda kampuni ya udalali uwaeleze na watakusaidia kuuza. Usituletee mambo ya pap sijui nini nini hapa
wewe mugglin au King'asti sijaanza kununua hisa jana au leo, nina uelewa wa kutosha kuhusu hiki ninachokifanya. Huna hadhi ya kunielimisha kuhusu hilo, kama nilinunua jua ninaweza kuuza. ninachokifanya mimi ni kumtafuta mtu then mauzo tunaenda kufanyia sokoni au kwa broker, usiwe unakurupuka.
 
Last edited by a moderator:
Hehehe maadamu umesema sina hadhi ya kukuelimisha, i rest my case.
Msako mwema ndugu
wewe mugglin au King'asti sijaanza kununua hisa jana au leo, nina uelewa wa kutosha kuhusu hiki ninachokifanya. Huna hadhi ya kunielimisha kuhusu hilo, kama nilinunua jua ninaweza kuuza. ninachokifanya mimi ni kumtafuta mtu then mauzo tunaenda kufanyia sokoni au kwa broker, usiwe unakurupuka.
 
Last edited by a moderator:
naona muuzaji unamdondokea king'asti mpe hizo hisa basi biashara iishe
 
Kwa mtu anayehitaji kununua hisa, mi nauza hisa zangu za Mkombozi Bank. Zipo 643

Bei ya sokoni kwasasa ni sh. 1500 kwa hisa moja but we can negotiate.

Mkuu naomba nitumie namba yako tuwasiliane tafadhali.
 
Paw yupo hujakumbana nae tu. Uje nyumbani ndio umuone, mie mwanamke wa shoka bwana, siwezi kumfungia. Ananogewa tu mwenyewe hataki kuondoka
Hivi Pou huwa hapiti huku siku hizi au umemfungia...?
 
Back
Top Bottom