Car4Sale Nauza IST yangu

Gari ni nzuri, ila kwa bei uliyoanzia mkuu hata kama kuna negotiations ni ya juu kiasi.
 
Unasuggest angeanza na ngapi mkuu?

Nimeona wadau wamesema ni bei sahihi.

Mimi nilipiga hesabu za kwamba usajili wa DP ni wa almost 2 years, so discount ya 10% kwa mwaka ingekula walau 2.2m (on straight-line basis) kutoka bei ya kuifikisha hapa nchini which is around 11m.

Hivyo, 8.5 - 9m ni bei nzuri kwa kuanzia.
 
Asanteni kwa updates, binafsi nilichukulia vile DP ina zaidi ya mwaka na nusu mtaani, nikaona ni bei juu.

All in all, mteja akifika akaikagua atakubali, maana ubora unabebwa na facts kibao.
ni bei ya kawaida tu
pia body inaonekana bado ipo vizuri
kwa upande wa engine tumuachie yeye na mteja wake
 
Gari imetulia sanaaaaa mkuu. Mileage yake ni Kilometer ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…