Car4Sale Nauza IST yangu

Car4Sale Nauza IST yangu

Ikifika 7 uje nimnunulie mama watoto wangu
Chukua hii ongezea na laki 5
Screenshot_20210518-092453.png
 
Mtoa post ongeza taarifa kwenye tangazo lako. Gari haliuzwi kama popcorn
 
Nimeona wadau wamesema ni bei sahihi.

Mimi nilipiga hesabu za kwamba usajili wa DP ni wa almost 2 years, so discount ya 10% kwa mwaka ingekula walau 2.2m (on straight-line basis) kutoka bei ya kuifikisha hapa nchini which is around 11m.

Hivyo, 8.5 - 9m ni bei nzuri kwa kuanzia.
Ni sahihi DPZ ina miaka 2 sasa . Mimi ninayo gari yenye DPZ ilitolewa February 2019.
 
Gari bado ipo jaman T695 DPZ nicheki 0715140001 ni yangu mwenyewe
 
Mkuu samahani nje ya mada. Hizo seat covers zinapatikana bongo au zilikuja na gari?
 
Back
Top Bottom