Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Albadir imejibu wallah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Albadir imejibu wallah
Mi mgonjwa mkuu, ww je ni kibaka au teja usiyejua thamani ya vitu ???Wewe ni chizi au mgonjwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Aisee...
Kwani ni mali yako,niache niuze wewe tulia hata kama huna akili timamu,mbona unawashwa washwa.Mi mgonjwa mkuu, ww je ni kibaka au teja usiyejua thamani ya vitu ???
Haiwezekani kitu cha elfu 30 na zaidi lbda, then we uuze elfu 4 na bado bei inashuka
Cheki PM kiongozi nipo ubungo pia tufanye biashara.....Kwani ni mali yako,niache niuze wewe tulia hata kama huna akili timamu,mbona unawashwa washwa.
Labda lina tundu chiniMi mgonjwa mkuu, ww je ni kibaka au teja usiyejua thamani ya vitu ???
Haiwezekani kitu cha elfu 30 na zaidi lbda, then we uuze elfu 4 na bado bei inashuka