Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,115
- 2,231
Habari za leo ndugu zangu najua mko poa, naenda kweny dhumuni langu kama kichwa cha uzi kinavojieleza, nauza kabati langu la mninga, nimelinunua lina mwaka mmoja tu ni 6×5 lina milango mitatu juu na chini na drow bei ni tsh 299,000 /= halina kipengere chochote wala changamoto yoyote ni mali yangu na kuthibitisha hilo kabati liko ndani kwangu napokaa ni Tabata bima njoo ulichukue kabla hawajakuwahi wengine.
Nadhani mnajua mbao ya mninga ulivo imara na bei yake ni kubwa, sema mimi nina shida, pia nilisha wahi kuuza vitu tofauti tofauti na hamna mtu alienunua kitu kwangu akapata changamoto yoyote..picha sio nzuri kwa sababu ya simu niliyotumia kupiga ila kabati ni kali sana ukiiona.. Nipigie uje tabata bima 0618266848.