Nauza Kabati la Mninga Bei Sawa Na Bure tsh 299,000 /=

Nauza Kabati la Mninga Bei Sawa Na Bure tsh 299,000 /=

Naona umetumia 'consumer psychology'
Jf ukileta biashara yako ujiandae na comments.
Najua na sio mara ya kwanza kuuza kiti humu nishauza nyingi ikiwemo pikipiki, friji, kisimbuzi, mabati, nk
 
Akitokea mtu akanunua hiyo kabati, basi atakuwa ameshawishiwa na jina la huo mti wa mninga. Ila siyo kwa hiyo kabati. Na huu ni ukweli mchungu.
 
Akitokea mtu akanunua hiyo kabati, basi atakuwa ameshawishiwa na jina la huo mti wa mninga. Ila siyo kwa hiyo kabati. Na huu ni ukweli mchungu.
Ukiliona live huchomoi sema tu camera niliyotumia kupiga picha sio nzuri.. Mzigo bado upo karibuni wote mje mlione live ni kali balaa basi tu shida nisongeliuza roho inaniuma.
 
Maseremala wa Tanzania inatakiwa wapelekwe China hata kwa wiki moja kujifunza finishing ya kazi zao ili kupata mwonekano mzuri. Mninga ni material nzuri ila kiukweli hilo kabati umaliziaji wake hasa rangi haina mvuto. Ikumbukwe kabati ni mojawapo ya mapambo kwenye nyumba.
 
Back
Top Bottom