Ukiliona live huchomoi sema tu camera niliyotumia kupiga picha sio nzuri.. Mzigo bado upo karibuni wote mje mlione live ni kali balaa basi tu shida nisongeliuza roho inaniuma.Akitokea mtu akanunua hiyo kabati, basi atakuwa ameshawishiwa na jina la huo mti wa mninga. Ila siyo kwa hiyo kabati. Na huu ni ukweli mchungu.