Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
- Thread starter
- #21
Sold
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Ambition plus endapo kuna mtu anauza camera pia au ukawa unauza nyingine naomba unicheki pleaseSold
Unataka camera ya aina gani na una bei gani mzee ninazo nyingi Hadi drone sema unataka ya aina ganiMkuu Ambition plus endapo kuna mtu anauza camera pia au ukawa unauza nyingine naomba unicheki please
Tangazo lako nimeliona wakati Tyr umeshauza
Mkuu nilisoma Uzi wako ule wa kutafuta kijana wa kufanya nae kazi Kwa makubaliano maalumu..ukasema ww upo nje..Unataka camera ya aina gani na una bei gani mzee ninazo nyingi Hadi drone sema unataka ya aina gani
Ni kweli mzee na ndio maana nilikuuliza ili uniambie ni Aina gani nije nazo utakuja kunilipa hela hukoMkuu nilisoma Uzi wako ule wa kutafuta kijana wa kufanya nae kazi Kwa makubaliano maalumu..ukasema ww upo nje..
Kiufupi nimekuwa interested na bei ya huyu jamaa Ila ndy hivyo tena mzigo ameuza,Nina bajeti ya 400k mkuu wangu
Lini unakuja kakaNi kweli mzee na ndio maana nilikuuliza ili uniambie ni Aina gani nije nazo utakuja kunilipa hela huko
Usijali mkuuMkuu nilisoma Uzi wako ule wa kutafuta kijana wa kufanya nae kazi Kwa makubaliano maalumu..ukasema ww upo nje..
Kiufupi nimekuwa int heerested na bei ya huyu jamaa Ila ndy hivyo tena mzigo ameuza,Nina bajeti ya 400k mkuu wangu
Nimebakisha week moja tuLini unakuja kaka
To make short and clear,ni kwamba ndy nataka nianze kudeal na photography,so ninajichanga bado,najua camera Kali lazima nijipange,lkn km utaamua kunisaidia mdogo wako nakuandalia 500k unisaidie camera mzuriUsijali mkuu
Natamani kweli kukupa msaada Ila Sasa dau dogo rafikiTo make short and clear,ni kwamba ndy nataka nianze kudeal na photography,so ninajichanga bado,najua camera Kali lazima nijipange,lkn km utaamua kunisaidia mdogo wako nakuandalia 500k unisaidie camera mzuri
Nimeogopa Kusema ya Aina gani,ni km najitega hivi..we nisaidie Tu Kaka Kwa hiyo bajeti
Hakuna kinachoshindikana,ukitua bongo we nicheki Tu nitaongeza mzigoNatamani kweli kukupa msaada Ila Sasa dau dogo rafiki
Ukodishwe wewe, si utakimbia nayo? Nakujuwa vizuri sana wewe dogo.Tukodishe kwasiku tukuletee 10,000 kwa zote mbili.
Ahahahah watu mnaharibiana sn aseeUkodishwe wewe, si utakimbia nayo? Nakujuwa vizuri sana wewe dogo.
Nimebakisha week moja tu
Australia mkuuUnatokea wapi mkuu, mimi nahitaji JBL speaker aisee! Tunaweza kufanya dili?