NAUZA KAMPUNI YA ULINZI

NAUZA KAMPUNI YA ULINZI

Nyabiri

Member
Joined
Apr 15, 2017
Posts
58
Reaction score
38
Wakuu habari za majukumu,
Naandika kwenye jukwaa hili kujulisha lengo langu la kutaka kuuza kampuni yangu ya ulinzi ambayo tayari imekamikika usajili.

Kampuni ilisajiliwa mwaka 2022 na kuanza kufanya kazi,lakini kutokana na sababu zilizo juu ya uwezo wangu nimetangaza kuiuza, Hivyo kama kuna mtu anahitaji basi anitafute kupitia simu no. 0713032040. Bei ni maelewano.
Tafadhali kama hauna mahitaji au lengo la kununua basi usiwe msumbufu.

Asante wakuu.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom