Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Hapana Mkuu, huo ujinga sina kiongozi.Weka hitaji lako muhimu nikisaidie hapa bure!, itanichukuwa masaa maana kuchambua vitabu siyo kazi ndogo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Mkuu, huo ujinga sina kiongozi.Weka hitaji lako muhimu nikisaidie hapa bure!, itanichukuwa masaa maana kuchambua vitabu siyo kazi ndogo!
Mimi nahitaji nikibet nishinde,so unanisaidiaje hapoWeka hitaji lako muhimu nikisaidie hapa bure!, itanichukuwa masaa maana kuchambua vitabu siyo kazi ndogo!
Kwa bahati nzuri, sijatumia kitabu hiki, bali nimetumia zaidi Jewish book, hakika it's work magical, what you wishes comes in 7-14 weeks!"CHARM"
Unaniambia kinanuwezo mkubwa siyo?
Tuelezee wewe kimekuletea manufaa gani zaidi ya hizi laki tano unazozitafuta mitandaoni?
mimi nakuelewa..kitu chochote kinachohusisha mambo ya magic e.t.c huwa maandishi yake hayawi straight inakua lugha fichoLugha ya kificho mkuu, japo tunaweza kuielewa, waingereza hawajui kukiandika kingereza Chao? 😁
Kitabu cha kijerumani kinatoa majibu kwa hili, tafuta moyo wa popo, ukaushe, ufunge kwenye kitambaa cha hariri, smokey with ubani na sandarusi, jifunge mkononi kwa juu (kulia) kabet, lete jibu hapa haraka sana!Mimi nahitaji nikibet nishinde,so unanisaidiaje hapo
Interesting 🤔Kitabu cha kijerumani kinatoa majibu kwa hili, tafuta moyo wa popo, ukaushe, ufunge kwenye kitambaa cha hariri, smokey with ubani na sandarusi, jifunge mkononi kwa juu (kulia) kabet, lete jibu hapa haraka sana!
Huna testimonies wala assurance ya kitabu.Kwa bahati nzuri, sijatumia kitabu hiki, bali nimetumia zaidi Jewish book, hakika it's work magical, what you wishes comes in 7-14 weeks!
Masharti ya uganga hayajawahi kuwa rahisi.🤣🤣.moyo wa popo ataupata wapi jaman?Kitabu cha kijerumani kinatoa majibu kwa hili, tafuta moyo wa popo, ukaushe, ufunge kwenye kitambaa cha hariri, smokey with ubani na sandarusi, jifunge mkononi kwa juu (kulia) kabet, lete jibu hapa haraka sana!
Mtu akikosea kidogo kwisha habari yake, eeh?one mistake, 100 goals
Cjaelewa mkuu smokey na sandarusi ni vitu gan hivoKitabu cha kijerumani kinatoa majibu kwa hili, tafuta moyo wa popo, ukaushe, ufunge kwenye kitambaa cha hariri, smokey with ubani na sandarusi, jifunge mkononi kwa juu (kulia) kabet, lete jibu hapa haraka sana!
Umeshatuona sisi wote humu ni akina Ushimen au Bantu Lady utupige kamba na kutuokota kama maembe?Kina uwezo mkubwa kupindukia hasa kwa wale watu wa treasury finder
Siri nyingi duniani zimefichwa kwenye vitabu, tusome vitabu.
Vitabu vimeandikwa na wazungu wa karne 3-4-6-7,ndio wazungu hao hao waliokuandikia biblia na vitabu vingine ndio hao hao akina galileo, Vasco dagama na wengi sana, infact dunia ni ya kale kweli kweli na ina mambo mengi mtambuka ya kustaajabisha!Umeshatuona sisi wote humu ni akina Ushimen au Bantu Lady utupige kamba na kutuokota kama maembe?
Sifanyi utapeli mkuu na share tu hidden knowledge!, unaposoma mambo mengi sana, ndipo huwa hata ni rahisi kujifahamu, who are you?, kusudio la uwepo wako ni lipi? What happen if world, haitakuwa na binadamu.Fanya kazi, acha utapeli.
Sandarusi ni Jamii ya ubani wa kale upo nadhani kwenye maduka ya tiba mbadala /Cjaelewa mkuu smokey na sandarusi ni vitu gan hivo
Mimi ninajifahamu, na ninajua kusudio langu, na sio kujua tu ninaliishi kabisa..Sifanyi utapeli mkuu na share tu hidden knowledge!, unaposoma mambo mengi sana, ndipo huwa hata ni rahisi kujifahamu, who are you?, kusudio la uwepo wako ni lipi? What happen if world, haitakuwa na binadamu.
Weka Chief.The spiritual meadow
Muhandishi John Moschus
Au niweke PDF