Nauza kitabu hiki kwa sailing 500,000/- tu soft copy!

Nauza kitabu hiki kwa sailing 500,000/- tu soft copy!

Ni kweli kina mambo mazito ya siri kwa wanaopenda kuchimbua mambo ya siri ambayo yapo kiimani zaidi.

Mali zipo kwenye kitabu hiki ila kinahitaji moyoo na kujilipua.

Njoo inbox nikutumie softcopy.

Utachangia bando kidogo..😃😃😃
 
Hitaji gani zaidi ya pesa mkuu tupe spells
Kwa parameter ya vitabu nilivyosoma nimegusa kila sekta pesa, biashara iende sana iende kidogo ilipuke kwa nguvu,, ianze kiduchu mpaka iwe kubwa, it's a lots knowledges!
 
Kitabu cha kijerumani kinatoa majibu kwa hili, tafuta moyo wa popo, ukaushe, ufunge kwenye kitambaa cha hariri, smokey with ubani na sandarusi, jifunge mkononi kwa juu (kulia) kabet, lete jibu hapa haraka sana!
Hii kuna vijana wa hovyo wataruka nayo asubuhi mapema tu, trust me.
 
Hii kuna vijana wa hovyo wataruka nayo asubuhi mapema tu, trust me.
Tatizo sisi watu weusi hatuko kiutafiti, hii ndiyo shida kubwa, kuna kitu kinaitwa sympathetic magic, mfano ukimwaga sukari atakuja sisimizi, ukichoma kipande cha koo la swala Pala watakuja nyoka, usijue wametoka wapi!
 
Kwa bahati nzuri, sijatumia kitabu hiki, bali nimetumia zaidi Jewish book, hakika it's work magical, what you wishes comes in 7-14 weeks!

Unaona sawa kutuuzia kitabu ambacho haujakitumia Mkuu? Tena Kwa Bei ya elfu miatano?
 
Books has every things
 
Attachments

  • IMG_20241218_194940_081.jpg
    IMG_20241218_194940_081.jpg
    26.1 KB · Views: 6
Hizi mambo zinanikumbusha zile story za Kule tanga juu miliman kule Mjerumani alipoficha mali zake ikiwemo Rupia axee huwezi kuiaunlock hizo codes zake unaweza kufika xeehem kuna bonge la zege hata upige baruti gan ngoma ndio kama umekwangua kwa kiwembe asee ni kweli ila ucpokuwa kuwa umejiganga unapotea hivi hivii axee sio poa lisemwalo lipo , Broo tupatia angalau pages mbili tatu kwa cc ambao tunapenda kusoma ila kutenda ndo shida 4 knowledge only.
Onyo
Kuna watu walifilisika kisa kutafuta Hio ki2 inayoitwa Rupia.....
 
🤔
 
Attachments

  • Screenshot_20241218_211523_Google.jpg
    Screenshot_20241218_211523_Google.jpg
    394.4 KB · Views: 6
Hizi mambo zinanikumbusha zile story za Kule tanga juu miliman kule Mjerumani alipoficha mali zake ikiwemo Rupia axee huwezi kuiaunlock hizo codes zake unaweza kufika xeehem kuna bonge la zege hata upige baruti gan ngoma ndio kama umekwangua kwa kiwembe asee ni kweli ila ucpokuwa kuwa umejiganga unapotea hivi hivii axee sio poa lisemwalo lipo , Broo tupatia angalau pages mbili tatu kwa cc ambao tunapenda kusoma ila kutenda ndo shida 4 knowledge only.
Onyo
Kuna watu walifilisika kisa kutafuta Hio ki2 inayoitwa Rupia.....
Upo sahihi kabisa, kwenye harakati hizi, NEVER /DONT uses your money, Utafilisika kipumbavu sana, kwa sababu Area spirit wa maeneo hayo wametamkiwa matamko makali sana, "If a man can wake up in a grave, basi kuwepo na uwezekano wa mtu kuzichukuwa mali zilizopo, pamoja na yote, kuna siku 20+ kwa mwaka ambazo mashetani wote hurudi jehanum, na kuacha mashetani dhaifu wadogo, na hapo ndipo wamba wanakwenda kubeba kwa maombi maalum,
---Faidaa kidogo-----
 
Attachments

  • IMG_20241218_214449_729.jpg
    IMG_20241218_214449_729.jpg
    53.7 KB · Views: 6
Back
Top Bottom