Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Kikisha tumika bei inashukaWe jdmaa unajua bei ya hivyo vitanda na godoro au unaongea ili mradi uchekeshe watu.
Kikisha tumika bei inashukaWe jdmaa unajua bei ya hivyo vitanda na godoro au unaongea ili mradi uchekeshe watu.
Sasa unaongea hivyo ili upate faida gn au ulitaka kumaanisha nn labda, mana jamaa anauza mali yake na kwa bei aliyotaja ni ndogo sasa wewe unasema huwezi kutoa hata laki ulitaka kumaanisha nn.Hata kama ningekuwa nakaa celo laki nisinge toa
Ndiyo mana anauza 250 vyote hivyo, wewe kweli bado unakaa hom kweli nimeamini.Kikisha tumika bei inashuka
Hapo kwanza kabisa bidhaa imetumika... Alaf Mm nimetoa mtazamo wangu mkuu sio mpk kila mtu akubaliSasa unaongea hivyo ili upate faida gn au ulitaka kumaanisha nn labda, mana jamaa anauza mali yake na kwa bei aliyotaja ni ndogo sasa wewe unasema huwezi kutoa hata laki ulitaka kumaanisha nn.
Hiyo ni biashara wewe kama hujapenda si unakaa kmya kuna haja gn kuongea shombo kwenye biashara za watu, huoni kama unamkosea jamaa?Hapo kwanza kabisa bidhaa imetumika... Alaf Mm nimetoa mtazamo wangu mkuu sio mpk kila mtu akubali
Sio shombo mkuu biashara si kuna mazungumzoHiyo ni biashara wewe kama hujapenda si unakaa kmya kuna haja gn kuongea shombo kwenye biashara za watu, huoni kama unamkosea jamaa?
Sasa wewe hujazungumza ila umetema shombo, acha ujinga.Sio shombo mkuu biashara si kuna mazungumzo
Mkuu hili ni jukwaa huru naweza Sema nacho taka na hakuna kitu enye utafanyaSasa wewe hujazungumza ila umetema shombo, acha ujinga.
Hahahahaaaa kwamba kikitumika ndiyo hakiuzwi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kikisha tumika bei inashuka
Yah ni kweli kabisa, ubarikiweMkuu hili ni jukwaa huru naweza Sema nacho taka na hakuna kitu enye utafanya
Kinauzika ila kwa bei ya njaa, na hakuna anae weza kutoa pesa kubwa kwa kitu usedHahahahaaaa kwamba kikitumika ndiyo hakiuzwi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
HakikaYah ni kweli kabisa, ubarikiwe
Kwamba 250k ni bei kubwa, we jamaa usinivunje mbavu yn mm mwenyewe moyo wangu umeshaghairi kuuza na bado wewe unasema ni kubwa, kweli wewe bado sana kaka 😃😃😃😃😃😃Kinauzika ila kwa bei ya njaa, na hakuna anae weza kutoa pesa kubwa kwa kitu used
Mkuu msamehe bure, wengine ni wageni bado tuwazoee wataelewa baadae.Hiyo ni biashara wewe kama hujapenda si unakaa kmya kuna haja gn kuongea shombo kwenye biashara za watu, huoni kama unamkosea jamaa?
Ngoja nikuoe hint uko wapi?Kwamba 250k ni bei kubwa, we jamaa usinivunje mbavu yn mm mwenyewe moyo wangu umeshaghairi kuuza na bado wewe unasema ni kubwa, kweli wewe bado sana kaka 😃😃😃😃😃😃
Unataka kusemaje labdaNgoja nikuoe hint uko wapi?
Nataka nikusaidie upate namna ya kukitoaUnataka kusemaje labda