Nauza kitanda na godoro lake kwa 250k tu

Nauza kitanda na godoro lake kwa 250k tu

Sasa unaongea hivyo ili upate faida gn au ulitaka kumaanisha nn labda, mana jamaa anauza mali yake na kwa bei aliyotaja ni ndogo sasa wewe unasema huwezi kutoa hata laki ulitaka kumaanisha nn.
Hapo kwanza kabisa bidhaa imetumika... Alaf Mm nimetoa mtazamo wangu mkuu sio mpk kila mtu akubali
 
Kwani bidhaa kutumika ni ya kwanza hiyo kuuzwa? Acha utoto kwenye biashara za watu, jamaa anauza mali yake tena kwa bei rafiki kabisa na kitanda kinaonekana hakijatumika sn, mm mwenyewe ningekuwa nakihitaji ningechukua.
 
Kinauzika ila kwa bei ya njaa, na hakuna anae weza kutoa pesa kubwa kwa kitu used
Kwamba 250k ni bei kubwa, we jamaa usinivunje mbavu yn mm mwenyewe moyo wangu umeshaghairi kuuza na bado wewe unasema ni kubwa, kweli wewe bado sana kaka 😃😃😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom