Nauza kiwanja cha Sqm 1900 Kigamboni kwa Tsh. Milioni 45

The Industry

Senior Member
Joined
Sep 1, 2012
Posts
117
Reaction score
30
Nauza kiwanja changu mwenyewe kilichopimwa kabisa

Kina Hati.
Ukubwa ni SQM 1900
Kipo Kigamboni- Dege.
Bei ni 45M
Negotiations zipo
Contact; 0684 84 88 01

KWA MADALALI MLIOPO KIGAMBONI UKIWA NA MTEJA 10% YAKO IPO.

NA KWA MTU YOYOTE MWENYE MDAU ANAYETAKA KIWANJA MAENEO HAYO NICHEK 10% YAKO IPO.
 
Kipo meter ngapi kutoka main road? Au Kilometres ngapi?

Na hiyo bei per square meter inakuja shilling ngapi?
 
Nauza kiwanja changu mwenyewe kilichopimwa kabisa
Kina Hati.
Ukubwa ni SQM 1900
Kipo Kigamboni- Dege.
Bei ni 45M
Negotiations zipo
Contact; 0684 84 88 01

KWA MADALALI MLIOPO KIGAMBONI UKIWA NA MTEJA 10% YAKO IPO.

NA KWA MTU YOYOTE MWENYE MDAU ANAYETAKA KIWANJA MAENEO HAYO NICHEK 10% YAKO IPO.
Kigamboni is over rated sijui kwanini?
 
23
Mbona inazidi bei elekezi ya wizara ya Ardhi sasa?

Halafu Kigamboni Magufuli alishaihujumu mpaka GSM Avic town amefanya kuwa Kambi ya Yanga.

Nauza kiwanja changu mwenyewe kilichopimwa kabisa
Kina Hati.
Ukubwa ni SQM 1900
Kipo Kigamboni- Dege.
Bei ni 45M
Negotiations zipo
Contact; 0684 84 88 01

KWA MADALALI MLIOPO KIGAMBONI UKIWA NA MTEJA 10% YAKO IPO.

NA KWA MTU YOYOTE MWENYE MDAU ANAYETAKA KIWANJA MAENEO HAYO NICHEK 10% YAKO IPO.
We jamaa ni noma unauza Kiwanja Tsh 23,600 per Sqm??

Au kiwanja kiko Kariakoo?
 
Back
Top Bottom