Nauza kiwanja cha Sqm 1900 Kigamboni kwa Tsh. Milioni 45

Nauza kiwanja cha Sqm 1900 Kigamboni kwa Tsh. Milioni 45

uliza bei ya viwanja Goba na hicho cha Jamaa ...... Goba kuna kitu ambacho watu wanakipenda
Kuna kaugongwa ka watu nakajuwa, lecturer wa Udsm hakai zaidi ya Changanyikeni na Makongo, sasa hata Goba naelewa ni upepo tu wa Mkumbo.

Bahati nzuri nimezaliwa Ocean road Dar, naujuwa mji vizuri, najuwa wapi watu wanajenga Kwa mizuka tu.
 
Nauza kiwanja changu mwenyewe kilichopimwa kabisa
Kina Hati.
Ukubwa ni SQM 1900
Kipo Kigamboni- Dege.
Bei ni 45M
Negotiations zipo
Contact; 0684 84 88 01

KWA MADALALI MLIOPO KIGAMBONI UKIWA NA MTEJA 10% YAKO IPO.

NA KWA MTU YOYOTE MWENYE MDAU ANAYETAKA KIWANJA MAENEO HAYO NICHEK 10% YAKO IPO.
🙏
 
Mi Naomba unikopeshe
 
Kuna kaugongwa ka watu nakajuwa, lecturer wa Udsm hakai zaidi ya Changanyikeni na Makongo, sasa hata Goba naelewa ni upepo tu wa Mkumbo.

Bahati nzuri nimezaliwa Ocean road Dar, naujuwa mji vizuri, najuwa wapi watu wanajenga Kwa mizuka tu.
Mimi nimezaliwa Canada. Wala siwezi sema naifahamu Canada au ikanipa kibali cha kuongea pumba na watu kukubaliana nazo. Ulipozaliwa hapahusiani na hoja za watu kupenda sehemu flani.
 
Sisi tuliozaliwa Mwananyamala Hatuujui Mji?
Kama umezaliwa Mwananyala wewe ni wa juzi tu.

Tuliozaliwa 70's martenity ilikuwa ni ocean road tu na Goba ulikuwa msitu unaweza kwenda kuwinda digidigi.
 
Mimi nimezali Canada. Wala siwezi sema naifahamu Canada au ikanipa kibali cha kuongea pumba na watu kukubaliana nazo. Ulipozaliwa hapahusiani na hoja za watu kupenda sehemu flani.
Hujui mantiki, kwahiyo huwezi kujuwa Nimeandika nini.

Huu mji tunaujuwa vizuri kuna maeneo watu wamefuata Mkumbo tu.
 
Hujui mantiki, kwahiyo huwezi kujuwa Nimeandika nini.

Huu mji tunaujuwa vizuri kuna maeneo watu wamefuata Mkumbo tu.
hakuna lolote. ni upuuzi na ushamba tu kudhani ukizaliwa ocean road its a big deal. ungesema tu unaifahamu dar. ulipozaliwa haihusiani na kujua (siyo kujuwa) umezaliwa ocean road na bado hujui kuandika kiswahili vizuri. mimi niliyezaliwa Canada nakurekebisha. huu mji watu wana uhuru wa kuishi popote watakapo na waonapo panafaa haijalishi wamezaliwa wapi au wmekulia wapi
 
Kiwanja Bado Kipo ndugu zangu
Madalali nasubiri simu zenu
Au 10% hamjaiona kama ipo
 
Kiwanja Bado kipo, kama upo serious nipigie tuongee, negotiations zipo, usiogope.
 
Kiwanja bado kina subiri mteja serious.

Wekezeni kwenye ardhi wazee, magari ya depreciate kila siku sio investment.
 
Back
Top Bottom