mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Hujui mantiki, kwahiyo huwezi kujuwa Nimeandika nini.
Huu mji tunaujuwa vizuri kuna maeneo watu wamefuata Mkumbo tu.
Makongo,kimara,goba,mbezi ni kwa watu fulani waoenda milima from moshi,tanga nk mimi sipendu maeneo tambarare,hayo mawneo yenye mima ni kama los angeles view yake,hewa safi nk