The Industry
Senior Member
- Sep 1, 2012
- 117
- 30
Kipo meter ngapi kutoka main road? Au Kilometres ngapi?Nauza kiwanja changu mwenyewe kilichopimwa kabisa
Kina Hati.
Ukubwa ni SQM 1900
Kipo Kigamboni- Dege.
Bei ni 45M
Negotiations zipo
Contact; 0684 84 88 01
KWA MADALALI MLIOPO KIGAMBONI UKIWA NA MTEJA 10% YAKO IPO.
NA KWA MTU YOYOTE MWENYE MDAU ANAYETAKA KIWANJA MAENEO HAYO NICHEK 10% YAKO IPO.
Kwa square meter inakuwa 24,000/=Kipo meter ngapi kutoka main road? Au Kilometres ngapi?
Na hiyo bei per square meter inakuja shilling ngapi?
Kigamboni is over rated sijui kwanini?Nauza kiwanja changu mwenyewe kilichopimwa kabisa
Kina Hati.
Ukubwa ni SQM 1900
Kipo Kigamboni- Dege.
Bei ni 45M
Negotiations zipo
Contact; 0684 84 88 01
KWA MADALALI MLIOPO KIGAMBONI UKIWA NA MTEJA 10% YAKO IPO.
NA KWA MTU YOYOTE MWENYE MDAU ANAYETAKA KIWANJA MAENEO HAYO NICHEK 10% YAKO IPO.
Mbona inazidi bei elekezi ya wizara ya Ardhi sasa?Kwa square meter inakuwa 24,000/=
Lakini Bora Kigamboni kuliko Goba, hata Mimi huwa sielewi Kwa nini watu wanakwenda kujenga milimani?Kigamboni is over rated sijui kwanini?
before ilikuwa iwe nini, what was the plan?Mbona inazidi bei elekezi ya wizara ya Ardhi sasa?
Halafu Kigamboni Magufuli alishaihujumu mpaka GSM Avic town amefanya kuwa Kambi ya Yanga.
Real estate. Kama Ile project ya PPF Njiro Arusha.before ilikuwa iwe nini, what was the plan?
Goba ni rahisi kufika kwenye mishe mishe kuliko Kigamboni Dege. kiwanja kama hicho kwa Goba bei yake ingekuwa juu sanaLakini Bora Kigamboni kuliko Goba, hata Mimi huwa sielewi Kwa nini watu wanakwenda kujenga milimani?
Upigaji tu..Mbona inazidi bei elekezi ya wizara ya Ardhi sasa?
Halafu Kigamboni Magufuli alishaihujumu mpaka GSM Avic town amefanya kuwa Kambi ya Yanga.
Goba pamejengeka tena una access kwa city centre haraka huduma zote zipo na kuna hadhi yake ya watu wanao ishi kule, sio kigamboni.Goba ni rahisi kufika kwenye mishe mishe kuliko Kigamboni Dege. kiwanja kama hicho kwa Goba bei yake ingekuwa juu sana
nakubaliana nawe. nimeona mimi mwenyewe kulivyo na nina patamani sanaGoba pamejengeka tena una access kwa city centre haraka huduma zote zipo na kuna hadhi yake ya watu wanao ishi kule, sio kigamboni.
Mbona inazidi bei elekezi ya wizara ya Ardhi sasa?
Halafu Kigamboni Magufuli alishaihujumu mpaka GSM Avic town amefanya kuwa Kambi ya Yanga.
We jamaa ni noma unauza Kiwanja Tsh 23,600 per Sqm??Nauza kiwanja changu mwenyewe kilichopimwa kabisa
Kina Hati.
Ukubwa ni SQM 1900
Kipo Kigamboni- Dege.
Bei ni 45M
Negotiations zipo
Contact; 0684 84 88 01
KWA MADALALI MLIOPO KIGAMBONI UKIWA NA MTEJA 10% YAKO IPO.
NA KWA MTU YOYOTE MWENYE MDAU ANAYETAKA KIWANJA MAENEO HAYO NICHEK 10% YAKO IPO.
Goba na Mbezi ndio Habari ya Mjini.Goba pamejengeka tena una access kwa city centre haraka huduma zote zipo na kuna hadhi yake ya watu wanao ishi kule, sio kigamboni.
23,684.21Na hiyo bei per square meter inakuja shilling ngapi?
Kuna kipo kinyerezi bei 65,000 sqm we shangaa cha kigamboni sasa.We jamaa ni noma unauza Kiwanja Tsh 23,600 per Sqm??
Au kiwanja kiko Kariakoo?
Goba to City center ni Kilometres ngapi na Dege to ferry ni kilometers ngapi?Goba ni rahisi kufika kwenye mishe mishe kuliko Kigamboni Dege. kiwanja kama hicho kwa Goba bei yake ingekuwa juu sana
Kinyerezi huwezi kufananisha na Kigamboni.Kuna kipo kinyerezi bei 65,000 sqm we shangaa cha kigamboni sasa.